Skip to content
  • Home
  • Jiandikishe Mafunzo
  • Book Session
  • Contact
Uncategorized

Beyond the Drop Maximize Your Wins with a 99% RTP plinko Game and Adjustable Risk Levels.

November 7, 2025 Salum Kanda No comments yet

Beyond the Drop: Maximize Your Wins with a 99% RTP plinko Game and Adjustable Risk Levels. Understanding the Plinko Gameplay Risk Levels: A Key to Customization Managing Lines and Bet Amounts The Advantage of a 99% RTP Understanding Variance and Maximum Multiplier Strategies for Increased Winning Potential The Role of Bankroll Management Exploring Auto Play […]

Article

SOMO KUTOKA KARIAKOO NA KIU YA FEDHA

March 25, 2025 Salum Kanda No comments yet

Katika pitapita zangu, jana niliingia duka moja maeneo ya kariakoo, nikawakuta kina dada watatu ndani. Mmoja akanipokea, wawili walikuwa bize na simu zao. Lengo langu lilikuwa kununua simu. Nikauliza maswali mengi kwani nilihitaji kuelewa uwezo wa simu kabla sijanunua. Bw. Brian Trancy Katika kitabu chake cha MARKETING aliandika, Wanunuzi wengi ni waoga wakununua kwa sababu […]

Miradi

JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA (BUSINESS PLAN)

June 6, 2024 Salum Kanda No comments yet

JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA (BUSINESS PLAN) DR. PETER MKUFYA +255 786 202 202   |   www.petermkufya.com UTANGULIZI Mpango wa Biashara ni nini hasa? Zipo tafsiri nyingi. Moja ya tafsiri ya kiutendaji, mpango wa biashara ni andiko lenye kuonyesha nadharia ya mikakati na mbinu ya biashara katika taasisi au shirika nk, itakayotumia kuanzia hatua ya […]

Miradi

KWANINI NAHIMIZA MIRADI

June 1, 2024 Salum Kanda No comments yet

KWANINI NAHIMIZA MIRADI HIVI karibuni niliandika tofauti kati ya Mradi na Biashara. JAPO biashara huongeza kipato na kukuza uchumi, faida za kufanya mradi ni nyingi. NILIFUNDISHA namna ya kugeuza biashara kuwa mradi, ili uone faida zaidi kiuchumi na kijamii (audio ipo, wasiliana nami) LEO napenda ufahamu kuwa, mradi unao upenda unaweza kuuvunja-vunja, yaani kuuweka katika […]

Uncategorized

THE POWER OF NEWNESS

May 24, 2024 Salum Kanda No comments yet

I came to learn that everything new that you undertake releases internal energy. It is from the internal energy that your power to perform various tasks surge. Let me nail it down, when you buy a brand new car, build a new house, get a new job, establish a new project, etc, won’t fill the […]

Miradi

Utambuzi wa maono yako – Moto ndani yako

May 23, 2024 Salum Kanda No comments yet

Maono aliyokupa Mungu yatekeleze haraka. Yeye ndio mtendaji. Wewe ni mfanyakazi katika Shamba lake. Mfanyakazi katika shamba kazi yake kubwa nikutimiza wajibu na maelekezo akiyopewa, nikusimamia ufanisi wa utekelezaji wa kazi za wengine shambani ili malengo yafikiwe. Kuhusu pembejeo na rasilimali nyingine ni kazi ya mwenye shamba. Jambo la msingi nikumpa taarifa. Kwa maana hiyo […]

AJIRA

SULUHISHO LA AJIRA KWA VIJANA NA FURSA ZILIZOPO

August 24, 2023 Salum Kanda No comments yet

 SULUHISHO LA AJIRA KWA VIJANA NA FURSA ZILIZOPO Katika utafiti uliofanyika hivi karibuni umegundua changamoto ya ajira kwa vijana imeongezeka kwa kiasi kikubwa, Asilimia 70 ya vijana wenye miaka kati ya 13 na 34 ambao ni wengi zaidi kati ya idadi ya watu Milioni 62 waliopo Tanzania kutokana na sensa iliyofanyika mwaka 2022, Hii inafanya […]

JARIDA

JARIDA LA IDEAS [EXPLORE YOUR POTENTIAL, ACHIEVE YOUR DREAMS]

August 17, 2023 Salum Kanda No comments yet

JARIDA LA IDEAS [EXPLORE YOUR POTENTIAL, ACHIEVE YOUR DREAMS] Jarida Maarufu la IDEAS hatimaye limetoka hapo jana majira ya saa mbili kamili jioni ikiwa ni toleo la Kwanza, Jarida hili kama kichwa kinavyoeleza “IDEAS” Limekusanya mambo mbalimbali kama vile mawazo ya miradi, Njia za mafanikio, Biashara, Mahusiano na mengine mengiii. Katika masaa matatu [3] tu […]

BOOKS

KITABU CHA “ZAWADI KWA WATANZANIA”

Sticky July 13, 2023 Salum Kanda No comments yet

UTANGULIZI KUHUSU KITABU HIKI Zawadi kwa Watanzania! Tarehe 9-10-2013 nilipewa wazo la kuandika Kitabu hiki. Kazi ya uandishi wa kitabu hiki haikuwa nyepesi. Ilihitaji muda, akili na fedha. Tarehe 25-09-2016 kuanzia saa tatu na nusu asubuhi hadi saa nane na dakika hamsini na mbili mchana (9:30am – 2:52pm), nilikuwa kwenye utulivu mkubwa, nikapokea Kanuni ya […]

BOOKS

KITABU CHA “TETEMEKO LA UJANA”

July 13, 2023 Salum Kanda No comments yet

 KWANINI USOME KITABU HIKI Vijana hupita kwenye matetemeko mbalimbali kipindi cha makuzi yao. Matetemeko hayo unaweza kuyaweka katika makundi ya kiuchumi, kibaolojia, kiimani na kiteknolojia. Matetemeko haya yanaweza kumfanya kijana asifikie malengo yake. Anaweza kujikuta ameharibu maisha yake bila kupenda. Mtunzi ametoa mifano halisi ya changamoto za tetemeko la ujana alizopitia na jinsi alivyozikabili na […]

Posts pagination

Previous 1 … 17 18 19 Next

Search

Categories

  • 1xbet casino BD 1
  • AJIRA 1
  • Article 1
  • aviator 2
  • aviator brazil 1
  • Bankobet 1
  • BOOKS 4
  • casino 33
  • JARIDA 1
  • Miradi 3
  • plinko_pl 1
  • reviewer 5
  • Uncategorized 125
  • verde casino hungary 1
  • сателлиты 2

Recent posts

  • Cassino E Apostas Esportivas On-line
  • Cassino E Apostas Esportivas On-line
  • Cassino E Apostas Esportivas On-line

Tags

kwa nini nahimiza miradi The power of newness UTAMBUZI WA MAONO YAKO

Dr. Peter Mkufya Initiatives

Dk. Peter Mkufya ni Mkufunzi wa Uchumi, Kilimo Biashara, Miradi na Ujasiriamali

Services
  • Kilimo Biashara
  • Nishati Ya Jua
  • Shule Binafsi
Get in touch
  • petermkufya@yahoo.com
  • www.petermkufya.com
  • Youtube Channel
  • +255 786 202 202
  • Facebook
  • Instagram
  • Twitter

Dk. Peter Mkufya ©2024 | Haki Zote Zimehifadhiwa.

  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy