JARIDA LA IDEAS [EXPLORE YOUR POTENTIAL, ACHIEVE YOUR DREAMS] Jarida Maarufu la IDEAS hatimaye limetoka hapo jana majira ya saa mbili kamili jioni ikiwa ni toleo la Kwanza, Jarida hili kama kichwa kinavyoeleza “IDEAS” Limekusanya mambo mbalimbali kama vile mawazo ya miradi, Njia za mafanikio, Biashara, Mahusiano na mengine mengiii. Katika masaa matatu [3] tu […]

