Katika pitapita zangu, jana niliingia duka moja maeneo ya kariakoo, nikawakuta kina dada watatu ndani. Mmoja akanipokea, wawili walikuwa bize na simu zao. Lengo langu lilikuwa kununua simu. Nikauliza maswali mengi kwani nilihitaji kuelewa uwezo wa simu kabla sijanunua. Bw. Brian Trancy Katika kitabu chake cha MARKETING aliandika, Wanunuzi wengi ni waoga wakununua kwa sababu […]

