UTANGULIZI KUHUSU KITABU HIKI Zawadi kwa Watanzania! Tarehe 9-10-2013 nilipewa wazo la kuandika Kitabu hiki. Kazi ya uandishi wa kitabu hiki haikuwa nyepesi. Ilihitaji muda, akili na fedha. Tarehe 25-09-2016 kuanzia saa tatu na nusu asubuhi hadi saa nane na dakika hamsini na mbili mchana (9:30am – 2:52pm), nilikuwa kwenye utulivu mkubwa, nikapokea Kanuni ya […]
KITABU CHA “TETEMEKO LA UJANA”
KWANINI USOME KITABU HIKI Vijana hupita kwenye matetemeko mbalimbali kipindi cha makuzi yao. Matetemeko hayo unaweza kuyaweka katika makundi ya kiuchumi, kibaolojia, kiimani na kiteknolojia. Matetemeko haya yanaweza kumfanya kijana asifikie malengo yake. Anaweza kujikuta ameharibu maisha yake bila kupenda. Mtunzi ametoa mifano halisi ya changamoto za tetemeko la ujana alizopitia na jinsi alivyozikabili na […]
KITABU CHA “NAANDIKA KITABU CHANGU”
UTAJIFUNZA NINI Utakapomaliza kukisoma kitabu hiki, utapata maarifa ya namna ya kuwa mtunzi wa vitabu kwenye fani yako. Utajua namna ya kutambua mada ndogo ndogo kwa urahisi ili uandike kitabu chako. Utafahamu namna ya kupata muda wa kuandika kitabu na kukadiria masaa na siku unazohitaji kukamilisha kitabu chako, tena ndani ya ratiba yako yenye mambo mengi bila kuathiri kazi zako nyingine. […]
KITABU CHA MAARIFA YA FEDHA
KWANINI USOME KITABU HIKI Binadamu wote tunahitaji kujua maarifa ya fedha. Nafahamu kabla ya kugunduliwa fedha, maarifa haya hayakuwa muhimu kama leo. Kipindi hicho, jambo muhimu ilikuwa ni uzalishaji. Unavyozalisha bidhaa nyingi zenye dhamani unakuwa na uwezo mkubwa wa kubadilishana bidhaa mbali mbali na watu wengine. Mfumo huu uliitwa Bata Tredi (Barter trade system). Maarifa […]




