Mkufunzi Nishati ya Jua Mahusiano Kilimo Biashara Ujasiliamali Miradi na Maendeleo

Dk. Peter Mkufya (PhD)

Kuhusu Dk Peter Mkufya (PhD)

Dk. Peter Mkufya ni Mkufunzi na mtaalamu wa Fedha, Mwandishi wa Vitabu, mwandishi wa Mapendekezo ya miradi na Mwanzilishi wa kampuni na shule za MustLead. Amefanya kazi katika Sekta ya Kilimo kwa zaidi ya miaka kumi na minne baada ya kuhitimu kutoka Chuo Kikuu cha kilimo Sokoine (SUA). Baadhi ya makampuni na mashirika aliyowahi kuyafanyia kazi ni Kampuni ya Tanzania Leaf Tobacco akiwa Meneja Miradi na Utawala mwaka 2004 na kuwa Mfanyakazi Bora wa Kitaifa mwaka 2006. Ana Shahada ya Sayansi ya Kilimo (Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo 2004), Shahada ya Uzamili. katika Maendeleo Vijijini (Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo 2010) na Shahada ya Uzamivu katika Maendeleo ya Uchumi wa Jamii.

Kutana na Dk. Peter Mkufya (PhD)

Hasa, nafanya mambo yafuatayo;
 • Miradi na Maandiko ya Miradi
 • Mkufunzi Wa Ujasiriamali
 • Kilimo-Biashara na Ufugaji
 • Mshauri wa Kuanzisha na Kuendesha Biashara au Shirika lako
 • Nishati ya Jua
 • Mkufunzi wa Maswala ya Vijana Uchumi na Mahusiano.
 • Mkufunzi Wa Wanawake Uchumi na Mahusiano
 • Mkufunzi na Mtafiti
 • Mtunzi na Mwandishi wa Vitabu (Uchumi, Kilimo & Ujasiriamali)
 • Uwekezaji Elimu ya Msingi na Sekondari Sekta Binafsi.
 • Maendeleo ya Jamii Kiuchumi 
 • Mkufunzi Wa Mbinu Sahihi za Kujiajiri
 • Mgunduzi wa Kanuni Mpya ya Mafanikio ya K.W.E.L.I

        Na mengine mengi….

 • Kujenga Jamii yenye maendeleo si kazi ya mtu mmoja. Nikazi, ya kila mtu, Asasi, Mashirika, Taasisi na Jumuiya.
 • Nakukaribisha, tuone namna ya kushirikiana na wewe ili kufanikisha hilo in a win win situation.

Watu waliofaidika na mafunzo ya Dk. Peter Mkufya

Shuhuda za Walionufaika

Watu wanasemaje kuhusu sisi?