JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA (BUSINESS PLAN) DR. PETER MKUFYA +255 786 202 202 | www.petermkufya.com UTANGULIZI Mpango wa Biashara ni nini hasa? Zipo tafsiri nyingi. Moja ya tafsiri ya kiutendaji, mpango wa biashara ni andiko lenye kuonyesha nadharia ya mikakati na mbinu ya biashara katika taasisi au shirika nk, itakayotumia kuanzia hatua ya […]
KWANINI NAHIMIZA MIRADI
KWANINI NAHIMIZA MIRADI HIVI karibuni niliandika tofauti kati ya Mradi na Biashara. JAPO biashara huongeza kipato na kukuza uchumi, faida za kufanya mradi ni nyingi. NILIFUNDISHA namna ya kugeuza biashara kuwa mradi, ili uone faida zaidi kiuchumi na kijamii (audio ipo, wasiliana nami) LEO napenda ufahamu kuwa, mradi unao upenda unaweza kuuvunja-vunja, yaani kuuweka katika […]
Utambuzi wa maono yako – Moto ndani yako
Maono aliyokupa Mungu yatekeleze haraka. Yeye ndio mtendaji. Wewe ni mfanyakazi katika Shamba lake. Mfanyakazi katika shamba kazi yake kubwa nikutimiza wajibu na maelekezo akiyopewa, nikusimamia ufanisi wa utekelezaji wa kazi za wengine shambani ili malengo yafikiwe. Kuhusu pembejeo na rasilimali nyingine ni kazi ya mwenye shamba. Jambo la msingi nikumpa taarifa. Kwa maana hiyo […]



