UTAJIFUNZA NINI Utakapomaliza kukisoma kitabu hiki, utapata maarifa ya namna ya kuwa mtunzi wa vitabu kwenye fani yako. Utajua namna ya kutambua mada ndogo ndogo kwa urahisi ili uandike kitabu chako. Utafahamu namna ya kupata muda wa kuandika kitabu na kukadiria masaa na siku unazohitaji kukamilisha kitabu chako, tena ndani ya ratiba yako yenye mambo mengi bila kuathiri kazi zako nyingine. […]
KITABU CHA MAARIFA YA FEDHA
KWANINI USOME KITABU HIKI Binadamu wote tunahitaji kujua maarifa ya fedha. Nafahamu kabla ya kugunduliwa fedha, maarifa haya hayakuwa muhimu kama leo. Kipindi hicho, jambo muhimu ilikuwa ni uzalishaji. Unavyozalisha bidhaa nyingi zenye dhamani unakuwa na uwezo mkubwa wa kubadilishana bidhaa mbali mbali na watu wengine. Mfumo huu uliitwa Bata Tredi (Barter trade system). Maarifa […]


