Skip to content
  • Home
  • Jiandikishe Mafunzo
  • Book Session
  • Contact
Uncategorized

Beyond the Drop Maximize Your Wins with a 99% RTP plinko Game and Adjustable Risk Levels.

November 7, 2025 Salum Kanda No comments yet

Beyond the Drop: Maximize Your Wins with a 99% RTP plinko Game and Adjustable Risk Levels. Understanding the Plinko Gameplay Risk Levels: A Key to Customization Managing Lines and Bet Amounts The Advantage of a 99% RTP Understanding Variance and Maximum Multiplier Strategies for Increased Winning Potential The Role of Bankroll Management Exploring Auto Play and Manual Control Beyond the Drop: Maximize Your Wins with a 99% RTP plinko Game and Adjustable Risk Levels. The world of online casino games is constantly evolving, offering players a diverse range of options. Among these, the plinko game stands out as a unique and engaging experience. Developed by BGaming, this casual game delivers a refreshing take on the classic arcade-style gameplay, boasting an impressive 99% Return to Player (RTP) rate and the potential for substantial multipliers up to 1000x. Its simple mechanics, coupled with adjustable risk levels, make it accessible to both novice and experienced players alike. This game isn’t about complex strategies or intricate rules; it’s about a thrilling combination of luck and calculated risk. Players release a ball from the top of a pyramid-shaped grid, and as it descends, it bounces off pegs, randomly landing in one of the lower collection slots. Each slot carries a different multiplier value, determining the payout. The beauty lies in the unpredictable nature of the ball’s trajectory, keeping players on the edge of their seats with every drop. Understanding the Plinko Gameplay The core mechanic of this game is deceptively simple, making it instantly appealing. A ball is dropped from the top of a pyramid formed by rows of pegs. As the ball falls, it encounters these pegs, causing it to deflect either left or right in a seemingly random pattern. This process continues until the ball reaches the bottom row of the pyramid, where it lands in one of several prize slots. Each slot is associated with a different multiplier, which dictates the amount won based on the initial bet. The graphics are clean and engaging, promoting a relaxed and entertaining atmosphere. Risk Levels: A Key to Customization A crucial aspect of the game is the ability to adjust the risk level. Players can choose between three distinct options: Low, Normal, and High. The risk level directly correlates with the potential payout and the volatility of the gameplay. When choosing the ‘Low’ risk setting, you can expect a higher probability of smaller wins. The ‘High’ risk level, conversely, offers the chance for significantly larger payouts, but comes with a greater likelihood of losing one’s stake. ‘Normal’ provides a balance between the two extremes. This customization enables players to tailor the game to their individual preferences and risk tolerance. Selecting the optimal risk level is paramount to enjoying the experience and maximizing potential returns. Managing Lines and Bet Amounts Beyond risk levels, players also have control over the number of lines they play with, ranging from 8 to 16. More lines increase the chances of hitting a prize, but also proportionally increase the bet amount. The game features both Manual and Auto play modes. Manual mode allows for deliberate control, granting players the opportunity to strategize each drop. Auto mode automates the process, allowing for several rounds to be played consecutively with pre-defined settings. This is beneficial for players who prefer a faster-paced experience or want to test a particular strategy over numerous iterations. The Advantage of a 99% RTP One of the most significant features of this game is its exceptionally high Return to Player (RTP) of 99%. RTP signifies the percentage of all wagered money that a game theoretically pays back to players over time. A 99% RTP puts this game far ahead of many other casino games, indicating a very favorable return for players. This high RTP doesn’t guarantee consistent wins, but it vastly improves the long-term odds and makes it an incredibly attractive option for players seeking value. This statistic is a key differentiator that positions the game as player-friendly. Understanding Variance and Maximum Multiplier While the 99% RTP is attractive, it’s important to understand the concept of variance. High variance games offer infrequent but substantial payouts. This game falls somewhere in the middle, providing a nice mix of frequent smaller wins and the occasional, more significant prize. The maximum multiplier available is an impressive 1000x the bet. Reaching this multiplier requires a fortunate combination of bounces, but the potential for such a substantial win adds excitement and appeal. Consider this alongside the adjustable risk levels, creating dynamic gameplay. Risk Level Volatility Payout Frequency Typical Multiplier Range Low Low High x1 – x20 Normal Medium Moderate x5 – x100 High High Low x20 – x1000 Strategies for Increased Winning Potential While the plinko game is largely based on chance, employing certain strategies can potentially enhance your winnings. Experimenting with different risk levels and line combinations can help players identify their preferred playing style and maximize their returns. Consider starting with lower risk levels to understand how the game functions and then gradually increasing the risk as your confidence grows. Analyzing past results (if available) can also provide insights into payout patterns, although it’s crucial to remember that each drop is independent and random. The Role of Bankroll Management Effective bankroll management is paramount in any casino game, and this one is no exception. Set a budget before you begin playing and stick to it. Avoid chasing losses and resist the temptation to increase your bets significantly in an attempt to recoup past losses. A responsible approach to bankroll management ensures that you can enjoy the game for a longer duration and minimize the risk of substantial financial setbacks. Remember that, despite the high RTP, losses are still possible. The game’s simplicity can lead to overconfidence – a dangerous trap for any player. Start Small: Begin with minimal bets to grasp the game mechanics. Vary Risk: Rotate between different risk levels to assess their impact on wins. Set Limits: Define a clear budget and adhere to it rigorously. Embrace the Randomness:

Article

SOMO KUTOKA KARIAKOO NA KIU YA FEDHA

March 25, 2025 Salum Kanda No comments yet

Katika pitapita zangu, jana niliingia duka moja maeneo ya kariakoo, nikawakuta kina dada watatu ndani. Mmoja akanipokea, wawili walikuwa bize na simu zao. Lengo langu lilikuwa kununua simu. Nikauliza maswali mengi kwani nilihitaji kuelewa uwezo wa simu kabla sijanunua. Bw. Brian Trancy Katika kitabu chake cha MARKETING aliandika, Wanunuzi wengi ni waoga wakununua kwa sababu wanaogopa kupata hasara kwa kununua bidhaa isiyokidhi matarajio yao. Usemi wa Bw. Trancy, ukawa kweli kwangu, kwani nilimdadisi dada kwa maswali mengi. Mara nikaona uso wa dada unaanza kubadilika, akaboreka. Sauti yake ikaashiria aina flani ya ukali. Wale kina dada wengine walikuwa bize na simu zao. Hawakunitazama kabisa. Ndani ya moyo wangu, nilikuwa na kiu ya kupata elimu ya kina juu ya bidhaa ile ili nifanye maamuzi sahihi. Pamoja na kugundua dada alikuwa ameboreka kwa maswali yangu, niliendelea kuporomosha maswali tu! Mwisho, nikaamua kununua. Nilipotoa fedha, uso wa yule dada ukaanza kuonyesha tabasamu. Wale kina dada waliokuwa wanachezea simu, wakaacha kwa muda. Nao wakaja karibu wakitaka kuniuzia vitu vingine vinavyo pendezesha zaidi simu ile. Wapo watu hadi waone fedha kwa macho ndio wanaonyesha umahiri feki. Hawajui fedha salama hujificha. Fedha inayokuja mbele mara nyingine ni chambo. Tukio la kina dada hawa, likanifanya nitafakari zaidi kuhusu fedha. Wengi wanapenda fedha lakini kwa tabia na maneno yao wanafukuza fedha! Zipo tabia muhimu za kujifunza kuhusu fedha. Fedha inahitaji heshima, haipendi itumike vibaya, haitaki dharau. Fedha inapenda nidhamu. Nidhamu ya kujali wateja, na nidhamu ya kuandika matumizi. Fedha haipendi mtu anayeboreka-boreka. Fedha inapenda utulivu. Mtaalamu mwingine alisema, fedha haipendi kelele. Ukienda bank yoyote kuna utulivu, hakuna kelele bank. Ukienda Bank kuu, ndio kabisaa, kuna utulivu mkuu. Ukiwa kwenye biashara au ofisini, mwisho wa siku unahitaji kipato kiongezeke, unahitaji fedha. Mteja anapokuja ofisini au kwenye biashara yako, tambua kuwa anakusoma TABIA zako pia. Jikite kwenye kutoa ELIMU ya kina kuhusu bidhaa au huduma yako. Mteja yeyote anawasiwasi wa KUPIGWA (Yaani kupoteza fedha yake kwa kununua kitu kisichokidhi mahitaji yake). Usikerwe na maswali ya wateja. Hata kama wewe ni kiongozi, usipandishe pepo la hasira kutoka kwa wale unao waongoza. Mtu akija ofisini kwako, onyesha ukarimu, onyesha unajali. Ukarimu ulifanya watu zamani wapokee malaika bila kujua. Pengine unaweza kuona jambo hili ni dogo, sio dogo, kwenye kutafuta fedha hakuna jambo dogo. Ningekuwa nina mtazamo hasi, ningetoka dukani kwa dada yule na kwenda kununua duka lingine. Angepoteza mteja mmoja. Mtaalamu mwingine alisema, mteja mmoja akipotea anapotea na wateja wengine kumi nyuma yake. Sisemi wauzaji wote kariakoo wanafanya kama yule dada, la. Najua wapo wanao jua wajibu wao. Kumbuka, Mteja au mtu akiuliza anataka kujua, usiboreke. Jikite kwenye kutoa elimu ya kina kuhusu bidhaa au huduma yako. Fedha zipo. Ili ufanye hivyo, IJUE vyema bidhaa yako. Ijue vyema ofisi yako. Fedha zipo. Ukiwatumia wengine somo hili utasaidia kutoa elimu hii adhimu kwa maendeleo ya kila mmoja wetu. Dr. Peter Mkufya Kipunguni, Ilala Dar es Salaam. www.petermkufya.com +255 786 202 202 MKUFUNZI: https://chat.whatsapp.com/GJYDw4XzqLIF7LjBiIHJxb

Miradi

JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA (BUSINESS PLAN)

June 6, 2024 Salum Kanda No comments yet

JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA (BUSINESS PLAN) DR. PETER MKUFYA +255 786 202 202   |   www.petermkufya.com UTANGULIZI Mpango wa Biashara ni nini hasa? Zipo tafsiri nyingi. Moja ya tafsiri ya kiutendaji, mpango wa biashara ni andiko lenye kuonyesha nadharia ya mikakati na mbinu ya biashara katika taasisi au shirika nk, itakayotumia kuanzia hatua ya kuzalisha hadi kufikisha bidhaa au huduma kwa mlaji. Ni mwongozo mzima wa kitaalamu unaotoa picha pana ya bidhaa au huduma, chanzo chake, kuongezewa thamani, muundo wake hadi itakapomfikia mlaji wa mwisho, inaonyesha bajeti na faida tarajiwa/itakayopatikana kwa kipindi fulani. Mpango wa biashara unatofautiana kutegemeana na bidhaa au huduma husika. Kimsingi, Mpango wa Biashara ni andiko la matarajio ya kununua malighafi na makisio ya kuuza bidhaa au huduma pamoja na kazi zote zitakazofanikisha upatikanaji wa faida na ukuaji wa biashara hiyo. Kwa maana hiyo, ni nyaraka ya siri inayotakiwa kutunzwa vizuri kwani inabeba mikakati na mbinu za ndani ya biashara/mradi katika shirika au taasisi ili kuhakikisha faida inapatikana kwa kipindi fulani. Je, Unawezaje Kuandika Mpango wa Biashara Kitaalamu? Je, Muundo wa Mpango wa biashara ukoje na Je, ni mambo gani muhimu yanatakiwa kuwepo kwenye andiko la MPANGO WA BIASHARA a.k.a BUSINESS PLAN ili uweze kukua kibiashara au uweze kuongeza uwezekano wa kupata mkopo ikiwa unapenda kukopa fedha…………………………….? WASILIANA NA DR. PETER MKUFYA UTAPATIWA NA AUDIO YA JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA (BUSINESS PLAN) USIKILIZE NA KUFANYA REJEA ZAIDI. UNAWEZA PIA KUANDIKIWA MPANGO WA BIASHARA AU ANDIKO LA MRADI IKIWA BADO UNAPATA CHANGAMOTO ZA KUANDIKA AU IKIWA HUNA MUDA WA KUANDIKA MWENYEWE. FANYA MAWASILIANO SASA, Email: peter.mkufya@mustleadgroup.com Tovuti: www.petermkufya.com Simu/WhatSapp: +255 786 202 202 [real3dflipbook id=”1″ mode=”normal”]

Miradi

KWANINI NAHIMIZA MIRADI

June 1, 2024 Salum Kanda No comments yet

KWANINI NAHIMIZA MIRADI HIVI karibuni niliandika tofauti kati ya Mradi na Biashara. JAPO biashara huongeza kipato na kukuza uchumi, faida za kufanya mradi ni nyingi. NILIFUNDISHA namna ya kugeuza biashara kuwa mradi, ili uone faida zaidi kiuchumi na kijamii (audio ipo, wasiliana nami) LEO napenda ufahamu kuwa, mradi unao upenda unaweza kuuvunja-vunja, yaani kuuweka katika sehemu ndogo ndogo ili kurahisisha uanzishwaji wake. JAPO andiko la mradi linabeba taarifa za mradi kwa mapana yake, unaweza kuanza mradi wako kidogo kidogo (Ipo Audio ya Jinsi ya Kuandika Andiko la Mradi, tuwasiliane) PICHA pana ya mradi wako ni muhimu, lakini usikuvuruge. Isikuletee hofu ya kuanza. MOJA ya mkakati muhimu unaotakiwa kuwa nao, ni kuanza. Anza na chochote maadam kina mchango wa maana kwenye mpango mkubwa wa mradi wako (The master plan) NAFURAHISHWA na miradi kwa sababu inabeba ndoto, wito na karama za watu. Ni moja ya njia ya kuacha alama isiyofutika kwenye jamii. MRADI mzuri, unagusa maisha na uhai wa watu. Naendelea kukuhamasisha, uanzishe mradi na kama unayo tayari, basi ongeza UFANISI, UGUNDUZI na UVUMBUZI. @drpetermkufya #mustlead #moyompya #kweli Follow me for more….https://chat.whatsapp.com/GJYDw4XzqLIF7LjBiIHJxb www.petermkufya.com

Uncategorized

THE POWER OF NEWNESS

May 24, 2024 Salum Kanda No comments yet

I came to learn that everything new that you undertake releases internal energy. It is from the internal energy that your power to perform various tasks surge. Let me nail it down, when you buy a brand new car, build a new house, get a new job, establish a new project, etc, won’t fill the same. Try out! Newness releases peace and happiness, which triggers energy generation and flow. Our day performance depends on energy possessed. A great idea comes from a high-energy mind. So do the reflection, analysis, and decision making. Let me put it in another way around. Have you thought of any new project today? Yes, a very new project? Just as you got out from the bed, did you ask yourself this question…what is it new that should do today? Along with your old schedule and monotonous action plan, it is imperative you fit in a 30 – to 60-minute completely new positive thing. As you keep solving the same old boring challenges, fast track a new challenge and solve it. Unlike routine challenges, solving completely new challenges hadres built and strengthened your mind. I can’t talk more about how l felt, when l bought my first car, built first house, land, got my first project, my degrees, etc. I was really fired up. As long as we need energy daily, we should keep doing new things and achieving new milestones. In fact, l was astonished when l came to learn that even our Almighty God wants us to sing for him the new songs (Psalm 96:1a) A gift given to someone is correlated to new stuff. It is from this that gifts also create happiness, joy, and peace, hence energy flow. I have enlisted hereunder, some few new stuff you can undertake daily and enjoy the energy flows, 1. Just greet a new person that you have never spoken to before. Get connected. Get new energy. 2. Get 15 to 30 minutes new knowledge, for instance, learn about making ball pens, chalks, proposal writing, sales skills, etc. 3. Listen to new development models and innovations currently launched. 4. Improve the way you do your physical exercise, the way you give speech, greet people, the way you do prayers, etc 5. Offer even small affordable gifts to new needy individuals. 6. Transform non ethical to ethical behaviours, transit from dark to light and from sinner to holly, lots of energy flow will be experienced. 7. Do any other new stuff provided it’s ethical. Enjoy the energy flow. Trust that you will learn more about the power of newness and keep exploring new ideas, keep doing new projects and keep achieving new milestones. I am humbled, @drpetermkufya

Miradi

Utambuzi wa maono yako – Moto ndani yako

May 23, 2024 Salum Kanda No comments yet

Maono aliyokupa Mungu yatekeleze haraka. Yeye ndio mtendaji. Wewe ni mfanyakazi katika Shamba lake. Mfanyakazi katika shamba kazi yake kubwa nikutimiza wajibu na maelekezo akiyopewa, nikusimamia ufanisi wa utekelezaji wa kazi za wengine shambani ili malengo yafikiwe. Kuhusu pembejeo na rasilimali nyingine ni kazi ya mwenye shamba. Jambo la msingi nikumpa taarifa. Kwa maana hiyo maono uliyopokea Toka kwa Mwenyezi Mungu, pamoja na ukubwa au udogo wake, Anza yatekeleze. Mifano aliyotupa Bwana Yesu, inaonyesha wazi, tumeachiwa wajibu wa kufanya katika dunia hii. Tutatakiwa kutoa hesabu. Nyumba ninayoishi huko shambani kwangu, waliingia nyuki juu ya dari. Wamekaa huko kwa miezi mingi. Siku Moja asubuhi nyuki mmoja akatoka, akazunguka chumbani, nikapata wasiwasi pengine asije kunigonga. Baada ya muda akatua chini na kutembea. Akaingia sehemu ambapo maji yalimwagika. Nimaji kidogo sana. Akaanza kupata tabu. Akabinuka binuka. Mbawa zake zikalowa. Akalala hapo, akafa. Maji yalikuwa kidogo sana sakafuni lakini nyuki alipata shida kutoka, akakwama asiweze kufanya kitu tena. Tukio hili likanizamisha juu ya maono. Kazi ufanyayo ikiwa ni yakimaono itafanikiwa. Ikiwa si yako mazingira yatakuwa si wezeshi kwako. Utapanda havikui. Vikikua havizai. Vikizaa hakuna Soko. Hii inatusisitimiza umuhimu wa matumizi ya kanuni yetu ya K.W.E.L.I kuwa tuanze na Imani (Imani) badala ya kuanza na Kipato (K). Dunia inapotea na wengi wanapotea kwa kuanza kutafuta Kipato (K), wanatumia vibaya kanuni ya KWELI, badala ya kutoka kushoto kwenda kulia, wanatoka kulia kwenda kushoto mwa kanuni ya KWELI. Maisha yanazidi kuwa magumu. Unakosa ubunifu. Una kopi na kupesti – unaiga maono na ndoto za watu. UNAPOANZA na Imani nikusema unajitafuta kwanza. Unaangalia karama na maono atakayokupa mwenyezi Mungu ili kazi yako, isikwame, isife kama yule nyuki. Fuatilia mafunzo ya kanuni ya KWELI kwa Mafanikio yako kimaono. Angalia sana ule mradi unaowaka moto ndani ya moyo wako mara kwa mara na kwa muda mrefu. Ufanyie kazi. Hii ni njia ya kujua maono yako na kujua Mwenyezi Mungu anataka ufanye nini.

AJIRA

SULUHISHO LA AJIRA KWA VIJANA NA FURSA ZILIZOPO

August 24, 2023 Salum Kanda No comments yet

 SULUHISHO LA AJIRA KWA VIJANA NA FURSA ZILIZOPO Katika utafiti uliofanyika hivi karibuni umegundua changamoto ya ajira kwa vijana imeongezeka kwa kiasi kikubwa, Asilimia 70 ya vijana wenye miaka kati ya 13 na 34 ambao ni wengi zaidi kati ya idadi ya watu Milioni 62 waliopo Tanzania kutokana na sensa iliyofanyika mwaka 2022, Hii inafanya Tanzania kuwa na kundi kubwa ambalo ni tegemezi, Hapa ndio linakuja swali, Je, nini kifanyike kutoa suluhisho la ajira kwa vijana? Na Je, Fursa zinatolewa za kutosha ili vijana wajiajiri na kujikwamua kiuchumi? Vijana zaidi ya 850,000 wanahitimu masomo kila mwaka huku wakiwa tayari kuingia kwenye soko la ajira lakini kati yao wanaopata ajira ya kudumu ni asilimia 5 tu na asilimia 35 ikijikita katika kilimo ambacho bado kinakabiliwa na changamoto nyingi, Hivi sasa vijana zaidi ya elfu 30 wanahitimu katika vyuo mbalimbali na wengi wakiishia mutaani kwa kukosa ajira. Hawa elfu 30 ni wale ambao walifanikiwa kupenya darasa la saba, kidato cha nne na sita, Maana yake ni kwamba wapo vijana wengi walioshindwa kuendelea na masomo kutokana na sababu mbalimbali. Wapo walioishia darasa la saba na kuingia mitaani, na wapo walioishia kidato cha nne na sita na kuishia huko mitaani, wakiwa hawana ujuzi wowote. Tatizo la ajira nchini kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya mfumo mbovu wa elimu ambao unazaa vijana wengi wasio na uwezo wa kuajiriwa popote na hata kujiajiri. Kwa sasa hali ni mbaya sana kwa sababu hata wanaomaliza vyuo vikuu wanakosa maarifa na asilimia kubwa husubiri kuajiriwa katika nchi ambayo kwa mwaka inatengeneza ajira kwa kiasi kidogo sana. JE, Nini kifanyike kusuluhisha tatizo la ajira kwa vijana? Elimu bora inayokidhi mahitaji ya taifa Hii ndio nyia mojawapo ya kutatua tatizo la ajira nchini kwani fursa za ajira zipo duniani kote ila wanaozifaidi ni wale wenye maarifa na ujuzi ambao msingi wake ni elimu bora wanayoipata. Endapo mfumo wa elimu ukibadilishwa utaongeza wigo mkubwa wa vijana wanaotoka vyuoni kujiajiri badala ya kusubiri kuajiriwa, hii haitokua na msaada kwao tu bali Taifa kwa ujumla na kupunguza utegemezi. Nchi imelala kwenye sekta ya viwanda. Kama tujuavyo sekta ya viwanda ndio inayoweza kuajiri watu wa aina yoyote, Wenye ujuzi na wasio na ujuzi, Wenye elimu na wasio na elimu, Kuimarisha sekta ya viwanda maana yake ni kuinua sekta ya kilimo ambayo ni eneo muhimu la kutatua tatizo la ajira, Kwa kujenga uchumi wa viwanda maana yake utahitaji malighafi ambazo zinazalishwa hapa nchini. Kujenga viwanda vya kubangua korosho maana yake unawahamasisha wananchi kulima kwa wingi zao la korosho maana unawahakikishia soko la korosho zao. Pia kujenga viwanda vya kusindika matunda maana yake unawahamasisha wananchi walime kwa wingi matunda. Kuwasimamia vijana waliojiajiri kwenye biashara ndogondogo. Vijana waliowekeza fedha zao kwenye biashara ndogo na za kati wasimamiwe ipasavyo kwenye biashara zao, Tumeshuhudia mara kadhaa vijana waliodunduliza “visenti” vyao na kufungua biashara zao pembezoni mwa barabara kwa lengo la kujipatia riziki wanafukuzwa na kubomolewa mabanda yao na kuwapeleka maeneo mbadala, wakati mwingine wakipelekwa maeneo ambayo aidha hayana miundombinu au yapo mbali na makazi ya watu.

JARIDA

JARIDA LA IDEAS [EXPLORE YOUR POTENTIAL, ACHIEVE YOUR DREAMS]

August 17, 2023 Salum Kanda No comments yet

JARIDA LA IDEAS [EXPLORE YOUR POTENTIAL, ACHIEVE YOUR DREAMS] Jarida Maarufu la IDEAS hatimaye limetoka hapo jana majira ya saa mbili kamili jioni ikiwa ni toleo la Kwanza, Jarida hili kama kichwa kinavyoeleza “IDEAS” Limekusanya mambo mbalimbali kama vile mawazo ya miradi, Njia za mafanikio, Biashara, Mahusiano na mengine mengiii. Katika masaa matatu [3] tu ya mwanzo yani hadi kufikia saa 5 usiku idadi ya watu waliopakua Jarida hili walifika 1720 huku waliotembelea kurasa mbalimbali za IDEAS wakifikia 12,000+, Hii inaonesha ni kwa namna gani jarida la IDEAS lilivyo na Content bora kila wiki. Katika jarida la IDEAS Mada iliyoteka zaidi akili na mioyo ya watu kutokana na komenti zao kwenye mitandao mbalimbali ni mada ya Mahusiano, Katika kipengele hiki jarida la IDEAS limeelezea Mambo mengi ya kupunguza ili kuimarisha mahusiano yako, Ni wakati wako sasa kusoma toleo la kwanza la IDEAS wiki hii na usikose kwani Jarida hili litakujia kila wiki siku ya Jumatani, Hivyo hakikisha hukosi nakala yako. KUMBUKA; JARIDA HILI NI BURE KABISA DOWNLOAD NOW    [1.97 MB]

BOOKS

KITABU CHA “ZAWADI KWA WATANZANIA”

Sticky July 13, 2023 Salum Kanda No comments yet

UTANGULIZI KUHUSU KITABU HIKI Zawadi kwa Watanzania! Tarehe 9-10-2013 nilipewa wazo la kuandika Kitabu hiki. Kazi ya uandishi wa kitabu hiki haikuwa nyepesi. Ilihitaji muda, akili na fedha. Tarehe 25-09-2016 kuanzia saa tatu na nusu asubuhi hadi saa nane na dakika hamsini na mbili mchana (9:30am – 2:52pm), nilikuwa kwenye utulivu mkubwa, nikapokea Kanuni ya Maendeleo ya K.W.E.L.I. Hapo ndipo kazi ya uandishi wa kitabu hiki ilipoanza. Namshukuru Mungu kwa kunipa wazo la kutunga kitabu hiki.  Nitamhimidi Bwana aliyenipa shauri…Zab 16:7a. Namshukuru mke na watoto wangu kwa msaada walionipa na kwa kunivumilia kipindi chote cha uandishi, kwani ni wazi walikosa kusikia sauti yangu pale nilipokuwa nimetumia muda wao ili kufanikisha kazi hii. Nakushukuru wewe msomaji kwa maamuzi yako ya kujipatia nakala ya kitabu hiki, kwani kwa kufanya hivyo utajipatia maarifa ya pekee, hivyo kushiriki katika maendeleo yako binafsi na jamii inayokuzunguka. Nimesukumwa kuandika kitabu hiki kwa kutumia elimu na uzoefu wangu ili kuleta kitu kipya kwa msomaji katika maisha ya kila siku, kwa lengo la kukuletea vichocheo vya Maendeleo ikiwa ni pamoja na kupambana na umasikini wa kipato na kifikra.  Mtaalamu mmoja alisema “kila ukuta ni mlango”. Kwenye ugumu ndio kwenye fursa. Unapoendelea kusoma Kitabu hiki utagundua una uwezo mkubwa wakutatua changamoto zako wewe mwenyewe kwanza kabla ya kuhitaji Msaada kutoka mbali. Ikiwa kila Mtanzania atasoma kitabu hiki na kuyafanyia kazi mawazo ya kiuchumi na kijamii yaliyoelezwa, mafanikio yatakuwa dhahiri. Maudhui yaliyo andikwa yataboresha fikra na maisha ya mtu mmoja mmoja, jamii na Tanzania kwa ujumla. Kwa kufanya hivyo lengo la kitabu hiki litakuwa limefikiwa.  Zawadi kwa Watanzania! Lugha ya Kiswahili imetumika ili kumuwezesha kila mtanzania kusoma na kufaidi mawazo yaliyomo. Yawezekana kwa baadhi ya Watanzania elimu iliyomo humu ikawa ya kawaida kwao, matumaini yangu ni kuwa Watanzania wengi wanahitaji nyenzo za kupambana na changamoto zinazo wazunguka. Zawadi Kwa Watanzania ni moja ya suluhisho sahihi la changamoto zako. Ni vyema kila mtanzania akapata nakala na kukisoma kitabu hiki hutakuwa kama alivyokuwa. Aidha, kwa kushiriki kuwapatia ndugu, jamaa na marafiki zawadi ya kitabu hiki, utakuwa umeshiriki katika kuelimisha jamii yetu kufikia maendeleo ya pamoja. Hakikisha Hukosi Nakala Yako ya Hard Copy (Printed) Au Softcopy (E-Book) Zawadi Kwa Watanzania! Twende pamoja sasa tufurahie Zawadi kwa Watanzania. Zawadi ya KWELI ni kweli. Ni mimi Peter Mkufya, Mkufunzi na Mhamasishaji Maendeleo, Mwanzilishi wa Kampuni ya Must Lead Ltd. Whatsapp namba 0786 202 202

BOOKS

KITABU CHA “TETEMEKO LA UJANA”

July 13, 2023 Salum Kanda No comments yet

 KWANINI USOME KITABU HIKI Vijana hupita kwenye matetemeko mbalimbali kipindi cha makuzi yao. Matetemeko hayo unaweza kuyaweka katika makundi ya kiuchumi, kibaolojia, kiimani na kiteknolojia. Matetemeko haya yanaweza kumfanya kijana asifikie malengo yake. Anaweza kujikuta ameharibu maisha yake bila kupenda. Mtunzi ametoa mifano halisi ya changamoto za tetemeko la ujana alizopitia na jinsi alivyozikabili na kuzishinda. Ametumia mifano ya watu wengine ili kumpa kijana darasa la kutosha anaposoma kitabu hiki. Sote tunajua majuto ni mjukuu, kijana atakayesoma kitabu hiki, ataepukana na mjukuu huyu (Majuto). Mwisho, mwandishi ametoa mwongozo kwa vijana wanaopenda kuwa wajasiriamali, kujiajiri au kuajiriwa. Mwongozo wa vijana wanaopenda kuwa viongozi katika nyanja mbalimbali pia umetolewa. Kwa kufanya hivyo, kitabu hiki, kitamsaidia kijana kuyamudu maisha yake ya baadae na hivyo kuwa msaada kwa wazazi, jamii na taifa. Aidha, kitabu hiki kinamfanya kijana asiwe tegemezi. Tuwasaidie vijana kupata nakala ya kitabu hiki. Unaweza kuwapatia kama zawadi. Kwenye ulimwengu huu wa utandawazi mkubwa, maudhui ya kitabu hiki yatawasaidia wazazi kufikia malengo wanayokusudia kwa vijana wao. Kitasaidia viongozi wa dini kuhimiza kile wanachopenda kukiona kwa vijana. Kitawasaidia viongozi wa vyama vya siasa na serikali, kuona vijana wanafuata misingi ya sheria na taratibu zilizopo na hivyo kuwa viongozi bora. Kwa ufupi, kitasaidia kupunguza vitendo vya uhalifu. Ni kitabu kinachowafanya vijana wachangie nguvu, akili na maarifa yao katika kujenga uchumi wao binafsi na wa taifa lao. Ni kitabu sahihi kwa kijana mwenye ndoto kubwa! Nakutakia mafanikio,  Ni mimi mtumishi wako,  Peter Mkufya Mkufunzi na Mhamasishaji Maendeleo Whatsaap +255 628 673 976

Posts pagination

Previous 1 … 17 18 19 Next

Search

Categories

  • 1xbet casino BD (1)
  • AJIRA (1)
  • Article (1)
  • aviator (2)
  • aviator brazil (1)
  • Bankobet (1)
  • BOOKS (4)
  • casino (33)
  • JARIDA (1)
  • Miradi (3)
  • plinko_pl (1)
  • reviewer (5)
  • Uncategorized (125)
  • verde casino hungary (1)
  • сателлиты (2)

Recent posts

  • Cassino E Apostas Esportivas On-line
  • Cassino E Apostas Esportivas On-line
  • Cassino E Apostas Esportivas On-line

Tags

kwa nini nahimiza miradi The power of newness UTAMBUZI WA MAONO YAKO

Dr. Peter Mkufya Initiatives

Dk. Peter Mkufya ni Mkufunzi wa Uchumi, Kilimo Biashara, Miradi na Ujasiriamali

Services
  • Kilimo Biashara
  • Nishati Ya Jua
  • Shule Binafsi
Get in touch
  • petermkufya@yahoo.com
  • www.petermkufya.com
  • Youtube Channel
  • +255 786 202 202
  • Facebook
  • Instagram
  • Twitter

Dk. Peter Mkufya ©2024 | Haki Zote Zimehifadhiwa.

  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy