Bondia maaarufu Nchini, Karim Mandonga ameweza kuweka wazi kuwa kwenye Familia yao wamezaliwa Watoto 16 huku yeye akiwa ni mtoto wa mwishoi. Kupitia mahojiano ambayo aliyofanya na @chica_fourteen kwenye kipindi cha Story Yangu aliweza kufunguka mambo mengi hasa kuhusu maisha yake binafsi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *