Mbinu hizi zimewasilishwa na Dr. Peter Mkufya kwa njia iliyo wazi na kwa kutumia uzoefu wake wa zaidi ya miaka 15 katika kuanzisha, kumiliki na kuendesha Kampuni , na hivyo kuzifanya kuwa rahisi kueleweka na kutekelezwa Mbinu zitakupa maarifa yanayoweza kutekelezwa na Wafanyabiashra na Makampuni ili kuongeza mauzo yao na kufanikisha mafanikio makubwa zaidi ya kibiashara.
.
.
.
#sales #mauzo #mkufya #kampuni #biashara #mawazoyabiashara #business #magic #fyppppppppppppppppppppppp #fypviral #tiktoktz #tiktokviral #youtubevideo #facebookreels

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *