Bondia maaarufu Nchini, Karim Mandonga amesema kuwa mama yake alimzuia kushiriki mchezo wa ngumi mpaka pale atakapomjengea nyumba ya kuishi. Kupitia mahojiano ambayo aliyofanya na @chica_fourteen kwenye kipindi cha Story Yangu aliweza kufunguka mambo mengi hasa kuhusu maisha yake binafsi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *