Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda anewatahadharisha wafanyabiashara wanaopandisha bei za bidhaa ambazo zinatumika katika mfungo wa Mwezi wa Ramadhan
“Niwasihi mwezi huu si wa kutengeneza faida mwezi huu ni wa kutafuta baraka faida unayoitafuta inaweza kuja kukugharimu sana ukajikuta unapata magonjwa yakala mpaka na mtaji”
Makonda ameongeza kuwa mkoa huo utaandaa futari ya pamoja na kutaka makundi yote kushiriki lengo kubwa kuendelea kujenga umoja.
.

.
..
.
.
.
.
.
#makonda #arusha #fypシ #ramadan #tanzania #eastafrica #easy #mustleadtv #habari #ramadan2025
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *