Msemaji wa Klabu ya Simba Ahmed Ally (semaji la caf) amerusha madongo kwa wapinzani wa timu hiyo huku akisema kuwa ni wao pekee ndio waliobaki kwenye mashindano ya Kimataifa na sio kama wengine.
Bonyeza hapa uweze kusikiliza msemaji huyo kwa kina: https://youtube.com/shorts/xlzQkez1UEA
