Njia rahisi ya kuomba ushauri wa kitaalamu.

Omba Ushauri Sasa

Dk. Peter Mkufya ni Mkufunzi na mtaalamu wa Fedha, Mwandishi wa Vitabu, mwandishi wa Mapendekezo ya miradi na Mwanzilishi wa kampuni na shule za MustLead. Amefanya kazi katika Sekta ya Kilimo kwa zaidi ya miaka kumi na minne baada ya kuhitimu kutoka Chuo Kikuu cha kilimo Sokoine (SUA). Baadhi ya makampuni na mashirika aliyowahi kuyafanyia kazi ni Kampuni ya Tanzania Leaf Tobacco akiwa Meneja Miradi na Utawala mwaka 2004 na kuwa Mfanyakazi Bora wa Kitaifa mwaka 2006. Ana Shahada ya Sayansi ya Kilimo (Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo 2004), Shahada ya Uzamili. katika Maendeleo Vijijini (Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo 2010) na Shahada ya Uzamivu katika Maendeleo ya Uchumi wa Jamii.

Hatua 3 Rahisi Za Kuomba Miadi

Chagua mradi sahihi wa kufanya.
Omba Miadi/Ushauri Kuhusu Mradi wako
Kuanzisha na kuendeleza Mradi.

Omba Miadi Sasa

Kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana nasi, Piga/Whatsapp 0788 684 711.