JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA (BUSINESS PLAN)

JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA (BUSINESS PLAN)

DR. PETER MKUFYA


+255 786 202 202   |   www.petermkufya.com


UTANGULIZI
Mpango wa Biashara ni nini hasa?
Zipo tafsiri nyingi. Moja ya tafsiri ya kiutendaji, mpango wa biashara ni andiko lenye kuonyesha nadharia ya mikakati na mbinu ya biashara katika taasisi au shirika nk, itakayotumia kuanzia hatua ya kuzalisha hadi kufikisha bidhaa au huduma kwa mlaji. Ni mwongozo mzima wa kitaalamu unaotoa picha pana ya bidhaa au huduma, chanzo chake, kuongezewa thamani, muundo wake hadi itakapomfikia mlaji wa mwisho, inaonyesha bajeti na faida tarajiwa/itakayopatikana kwa kipindi fulani.

Mpango wa biashara unatofautiana kutegemeana na bidhaa au huduma husika. Kimsingi, Mpango wa Biashara ni andiko la matarajio ya kununua malighafi na makisio ya kuuza bidhaa au huduma pamoja na kazi zote zitakazofanikisha upatikanaji wa faida na ukuaji wa biashara hiyo.

Kwa maana hiyo, ni nyaraka ya siri inayotakiwa kutunzwa vizuri kwani inabeba mikakati na mbinu za ndani ya biashara/mradi katika shirika au taasisi ili kuhakikisha faida inapatikana kwa kipindi fulani.

Je, Unawezaje Kuandika Mpango wa Biashara Kitaalamu? Je, Muundo wa Mpango wa biashara ukoje na Je, ni mambo gani muhimu yanatakiwa kuwepo kwenye andiko la MPANGO WA BIASHARA a.k.a BUSINESS PLAN ili uweze kukua kibiashara au uweze kuongeza uwezekano wa kupata mkopo ikiwa unapenda kukopa fedha…………………………….?

WASILIANA NA DR. PETER MKUFYA
UTAPATIWA NA AUDIO YA JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA (BUSINESS PLAN) USIKILIZE NA KUFANYA REJEA ZAIDI. UNAWEZA PIA KUANDIKIWA MPANGO WA BIASHARA AU ANDIKO LA MRADI IKIWA BADO UNAPATA CHANGAMOTO ZA KUANDIKA AU IKIWA HUNA MUDA WA KUANDIKA MWENYEWE.

FANYA MAWASILIANO SASA,
Email: peter.mkufya@mustleadgroup.com
Tovuti: www.petermkufya.com
Simu/WhatSapp: +255 786 202 202

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *