Sale!

ZAWADI KWA WATANZANIA

Sh6,000

Category:

UTANGULIZI KUHUSU KITABU HIKI

Zawadi kwa Watanzania! Tarehe 9-10-2013 nilipewa wazo la kuandika Kitabu hiki. Kazi ya uandishi wa kitabu hiki haikuwa nyepesi. Ilihitaji muda, akili na fedha. Tarehe 25-09-2016 kuanzia saa tatu na nusu asubuhi hadi saa nane na dakika hamsini na mbili mchana (9:30am – 2:52pm), nilikuwa kwenye utulivu mkubwa, nikapokea Kanuni ya Maendeleo ya K.W.E.L.I. Hapo ndipo kazi ya uandishi wa kitabu hiki ilipoanza. Namshukuru Mungu kwa kunipa wazo la kutunga kitabu hiki.

 

Nitamhimidi Bwana aliyenipa shauri…Zab 16:7a.

 

Namshukuru mke na watoto wangu kwa msaada walionipa na kwa kunivumilia kipindi chote cha uandishi, kwani ni wazi walikosa kusikia sauti yangu pale nilipokuwa nimetumia muda wao ili kufanikisha kazi hii.

Scroll to Top