Sale!

Ufugaji wa samaki

Sh5,000

Category: Tag:

Samaki wamekua wakitegemewa na jamii nyingi duniani kwa ajili ya chakula na kipato.
Kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya samaki pamoja na mazao yake na kukua kwa
teknolojia ya uvuvi, shuguli za uvuvi zimeongezeka kwa kiasi kikubwa. Hali hii imepelekea
kupungua kwa kiwango kikubwa cha rasilimali za uvuvi hususani kwenye bahari maziwa na
mito. Mbinu mojawapo inayoleta matumaini na mabadiliko katika hadhi ya ufugaji wa
Samaki.Samaki wanaweza kufugwa katika maeneo ya maji baridi au mchanganyiko wa maji
baridi na chumvi. Hapa Tanzania kutegemeana na hali ya hewa na mahitaji muhimu
yanayohitajika katika shuguli za ufugaji wa Samaki. Wakati mabwawa mengi yanapatikana
katika mikoa mingi kama Dar es salaam, Mwanza, Arusha , kilimajaro, Morogoro, Iringa,
Mbeya na Ruvuma, Ufugaji wa Samaki unaendelea kote nchin

Scroll to Top