Sale!

Ufugaji wa nguruwe

Sh5,000

Category: Tag:

Ni wanyama wanaofugwa kote duniani, kibiologia ni nusu spishi ya susscrofa. Jumla ya
Nguruwe duniani hukadiriwa kuwa bilioni mbili (Bilioni 2). Asili ya Nguruwe inapatikana
katika mabara ya Afrika, Asia na Ulaya, aina nyingi ziko Asia. Mnyama huyu kwa jina
lingine huitwa Mlawangi maana yake anakula kilakitu. Nyama ya Nguruwe inaliwa sana
Ulaya na Asia ya mashariki na kusini – mashariki. Katika tamaduni kadhaa Nguruwe na
nyama yake hutazamiwa kuwa najisi, kwa mfano katika Uyahudi na Uislamu. Ufugaji wa
Nguruwe ni lazima uwe wa kisasa ili kupata Nguruwe bora. Jamii nyingi hapa Tanzania
huchukulia Nguruwe kama mnyama mchafu asiye faa kuwa karibu naye na hata
matumizi kama lishe. Nyama yake haina madhara kwa afya na inapendekezwa kuliko
nyama nyekundu

Scroll to Top