Sale!

Kilimo cha nyanya kibiashara

Sh4,000

Category: Tag:

Nyanya ni aina ya mboga inayo zalishwa kwa wingi sana duniani. Kwa Tanzania,
nyanya ni zao la kwanza katika mazao ya mboga linalo limwa na kuliwa kwa wingi
ukilinganisha na mboga zingine. Nyanya hutumika karibu katika kila mlo. Nyanya ni
zao umuhimu kama chakula na pia kama zao linalomwingizia kipato mkulima

Scroll to Top